Download Official Modobo TV App � sehemu yako ya kutazama burudani na michezo mubashara, inayokuletea ligi na channel kali zaidi duniani moja kwa moja mkononi mwako!
Imeundwa kwa ajili ya Android na Smart TV, Modobo TV inakupa experience laini na ya kisasa kwa wapenzi wa sports, movies, vipindi vya watoto na burudani nyingine kibao. Furahia premium content inayomfaa kila mtazamaji.
Unlimited Sports Streaming � Kuanzia UEFA hadi La Liga, Ligi Zote Zipo Hapa
Kama wewe ni shabiki wa mpira na michezo mingine, Modobo TV imekupa access ya kipekee ya ligi kubwa duniani kama:
UEFA Champions League
NBC Premier League
La Liga
Serie A
na ligi nyingine nyingi kali duniani.
Kupitia live streaming, marudio ya mechi pamoja na highlights, hutakosa hata dakika moja ya mchezo wako unaoupenda popote ulipo.
Kuanzia ligi za ndani mpaka mashindano makubwa ya kimataifa, Modobo TV inakuweka karibu na kila pasi, kila goli na kila ushindi � moja kwa moja mkononi mwako.